Nembo ya CNN
Cable News Network (Kifupi: CNN ) ni stesheni ya runinga inayotangaza habari iliyoanzishwa na Ted Turner mnamo 1980.[ 1] CNN ilikuwa stesheni ya kwanza inayotangaza habari masaa 24.[ 2] Makao yake makuu yako mjini Atlanta , ingawa ina vituo vingine mjini New York , Washington, D.C. na Los Angeles . Kauli yake mbiu ni The Worldwide Leader in News.
Vipindi
Vipindi vinavyonyeshwa sasa
Jumatatu - Ijumaa
North American Eastern Standard Time Zone|ET
Kipindi
Mwanahabari
Jiji
Maelezo
6a-9a
American Morning
John Roberts and Kiran Chetry
New York
morning news program.
9a-11a
CNN Newsroom
Heidi Collins
Atlanta
Kuipindi cha kutangaza habari.
11a-1p
Tony Harris
1p-3p
Kyra Phillips
3p-4p
Rick Sanchez
Sanchez huwasiliana na watazamaji kwa kutumia tovuti kama Twitter na Facebook .
4p-7p
The Situation Room
Wolf Blitzer
Washington D.C.
Kipindi kinachozingatia habari kwa ufupi, kwa kuzingatia siasa, usalama, na taarifa zenye kuwatia hamu watazamaji.
7p-8p
CNN Tonight
Wanahabari tofauti
New York/Atlanta
Habari kwa ufupi.
8p-9p
Campbell Brown
Campbell Brown
New York
Mahojiano kuhusu siasa na habari zinazohusu wapigaji kura.
9p-10p
Larry King Live
Larry King
Los Angeles
Kipindi cha mahojiano na watu maarufu.
10p-12a
Anderson Cooper 360
Anderson Cooper
New York
Kipindi cha kutangaza habari.
Saturday
ET
Kipindi
Mwanahabari
Jiji
Maelezo
6a-730a
CNN Saturday Morning
Betty Nguyen na T. J. Holmes
Atlanta
Kipindi cha kutangaza habari.
730a-8a
House Call
Dr. Sanjay Gupta
New York
Kipindi cha matibabu na dawa.
8a-930a
CNN Saturday Morning
Betty Nguyen na T. J. Holmes
Atlanta
Kipindi cha habari.
930a-10a
Your Bottom Line
Gerri Willis
New York
Kipindi kinachozingatia fedha.
10a-12p
CNN Newsroom
Betty Nguyen and T. J. Holmes
Atlanta
Kipindi kinachtangaza habari.
12p-1p
Fredricka Whitfield
1p-2p
Your $$$$$
Ali Velshi na Christine Romans
New York
Kipindi cha biashara.
2p-5p
CNN Newsroom
Fredricka Whitfield
Atlanta
Kipindi cha taarifa ya habari.
5p-6p
Don Lemon
6p-7p
The Situation Room
Wolf Blitzer
Washington D.C.
Kipindi cha habari za siasa.
7p-8p
CNN Newsroom
Don Lemon
Atlanta
Kipindi cha habari.
8p-9p
CNN Special Investigations Unit / CNN Presents / Other specials
Kipindi tofauti tofauti
9p-10p
Larry King Live
Larry King
Los Angeles
Kipindi cha mahojiano.
10p-11p
CNN Newsroom
Don Lemon
Atlanta
Kipindi cha habari.
Jumapili
ET
Kipindi
Mtangazaji
Jiji
Maelezo
6a-730a
CNN Sunday Morning
Betty Nguyen na T. J. Holmes
Atlanta
Kipindi cha taarifa ya habari.
730a-8a
House Call
Dr. Sanjay Gupta
New York
Kipindi cha matibabu.
8a-9a
CNN Sunday Morning
Betty Nguyen na T. J. Holmes
Atlanta
Kipindi cha habari.
9a-10a
State of the Union with John King
John King
Washington D.C.
Kipindi cha siasa.
10a-11a
Howard Kurtz
Reliable Sources ni kipindi cha kuzingatia uanahabari.
11a-1p
John King
kipindi cha siasa.
1p-2p
Fareed Zakaria GPS
Fareed Zakaria
Hubadilika
Majadiliano kuhusu habari za kimataifa.
2p-3p
Amanpour
Christiane Amanpour
Hubadilika
Majadiliano kuhusu habari za kimataifa.
3p-4p
Your $$$$$
Ali Velshi na Christine Romans
New York
Kipindi cha habari za kimataifa.
4p-6p
CNN Newsroom
Fredricka Whitfield
Atlanta
Taarifa ya habari.
6p-7p
Fareed Zakaria GPS
Fareed Zakaria
Hubadilika
Mahojiano kuhusu habari za kimataifa.
7p-8p
CNN Newsroom
Don Lemon
Atlanta
Taarifa ya habari.
8p-9p
State of the Union with John King / CNN SIU / CNN Presents
9p-10p
Larry King Live
Larry King
Los Angeles
Kipindi cha mahojiano.
10p-11p
CNN Newsroom
Don Lemon
Atlanta
Taarifa ya habari.
Wachambuzi wa kisiasa
Stesheni maalum
Mahojiano katika CNN en Español
CNN.com Live
CNN Airport Network
CNN Checkout Channel
CNN en Español
HLN (TV network)|HLN
CNN International
CNN+ (a partner network in Spain , launched in 1999 with Sogecable )
CNN TÜRK A Turkish media outlet.
CNN-IBN An Indian news channel.
CNNj A Japanese news outlet.
CNN Chile A Chilean news channel launched on 4 Desemba 2008.
n-tv German 24 hour news channel in German language. In 2009, on air graphic (DOG position and news ticker) is like CNN. Owned by RTL Group
Ofisi
Ofisi za CNN kote duniani
Kituo cha CNN mjini Atlanta.
Studio ya CNN.
Marekani
Ofisi zingine duniani
Abu Dhabi , United Arab Emirates (Makao Makuu ya Mashariki ya Kati)
Baghdad , Iraki
Bangkok , Thailand
Beijing , Uchina
Beirut , Lebanon
Berlin , Ujerumani
Bogotá , Colombia
Cairo , Misri
Dubai , United Arab Emirates
Havana , Cuba
Hong Kong
Islamabad , Pakistan
Istanbul , Uturuki
Jakarta , Indonesia
Tehran , Iran (until the 2009 election when foreign media where expelled from the country)
Yerusalemu , Israel
Johannesburg , Afrika Kusini
Lagos , Nigeria
London , Uingereza (Makao makuu ya bara ulaya)
Madrid , Uhispania
Mexico City , Mexico
Moscow , Urusi
Nairobi , Kenya
New Delhi , India
Paris , Ufaransa
Rio de Janeiro , Brazil
Santiago de Chile , Chile
São Paulo , Brazil
Seoul , South Korea
Tokyo , Ujapani
Marejeo
Viungo vya nje