Karne ya 4Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka ◄ |
Karne ya 2 |
Karne ya 3 |
Karne ya 4
| Karne ya 5
| Karne ya 6
| ► Karne ya 4 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 301 na 400. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 301 na kuishia 31 Desemba 400. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo". Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya binadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu. Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya yafuatayo. Matukio
Watu muhimu
Viungo vya nje
|