Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

 

Kim Tae Jung

Picha ya Rais Kim.

Kim Dae Jung (Kikorea: 김대중 金大中) (6 Januari 1925 - 18 Agosti 2009) alikuwa rais wa zamani wa nchi ya Korea Kusini. Mnamo mwaka wa 2000, amepata Tuzo ya Nobel ya Amani. Huyu ndiye mtu wa kwanza kutoka Korea kupata Tuzo ya Nobel.[1]. Yeye ni Mroma tangu mwaka wa 1957, alikuwa kiitwa "Nelson Mandela" wa Asia [2]. Kim Tae Jung alikuwa rais na aliyekuja kupokelewa na Kim Young-sam kuanzia mwaka wa 1998 hadi 2003. Alizaliwa mjini Haui-do, Mkoani South Jeolla, kisiwa kilichopo kwenye Pwani ya Korea Kusini.

Marejeo

  1. Kim Dae-Jung Ilihifadhiwa 8 Juni 2007 kwenye Wayback Machine. (Short Asian Week biography)
  2. Kim Dae-Jung Ilihifadhiwa 22 Septemba 2006 kwenye Wayback Machine. (Short CNN biography)

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kim Tae Jung kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya