Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

 

Lawrence Bragg

Lawrence Bragg

William Lawrence Bragg (31 Machi 18901 Julai 1971) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Australia. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza mionzi ya eksirei na nuru. Mwaka wa 1915, pamoja na baba yake, William Henry Bragg alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lawrence Bragg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya