Tangu mwaka 1793 alikuwa maarufu mjini Vienna kama mpigakinanda akaendelea kutunga muziki wake. Alipata msaada wa wateja kati ya makabaila wa makao makuu ya Kaisari.
Tangu mwaka 1796 alianza kupoteza uwezo wake wa kusikia akazidi kuwa kiziwi lakini aliamua kuendelea na muziki wake. Kuna hadithi ya kwamba aliongoza simfonia ya tisa na mwishowe watu walimgeuza aangalie wasikilizaji kwa sababu hakusikia jinsi walivyopiga makofi.
Alijitahidi kuendelea kutunga na kuongoza muziki na kupiga piano. Alifunga fimbo kwenye kinanda akaishika kwa meno na kusikia walau tetemeko la piano kupitia fimbo na meno yake.
Klaus Martin Kopitz, * Beethoven’s ‘Elise’ Elisabeth Röckel: a forgotten love story and a famous piano piece, in: The Musical Times, vol. 161, no. 1953 (Winter 2020), pp. 9–26
Stanley, Glenn (ed) (2000). The Cambridge Companion to Beethoven. Cambridge: Cambridge University Press. ISBN0-521-58074-9. {{cite book}}: |first= has generic name (help)
Steblin, Rita (2009). "'A dear, enchanting girl who loves me and whom I love': New Facts about Beethoven's Beloved Piano Pupil Julie Guicciardi". Bonner Beethoven-Studien. 8: 89–152.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ludwig van Beethoven kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.