Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

 

Orodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifa

Nchi za Afrika kulingana na Pato la Taifa 2024

Pato la taifa (kwa Kiingereza: Gross domestic product, GDP) ni thamani ya sokoni ya bidhaa na huduma zote za nchi fulani katika mwaka. Orodha hii inayohusu bara la Afrika inafuata takwimu za International Monetary Fund.[1][2][3][4][5][6]

Orodha

Hii ni Orodha ya Nchi za Afrika Mashariki Kulingana na pata la taifa

Nchi za Afrika kulingana na Pato La Taifa
Orodha Nchi Pato la Taifa
1 Afrika Kusini 403.05
2 Misri 380.04
3 Algeria 260.13
4 Nigeria 199.72
5 Moroko 157.09
6 Uhabeshi 145.03
7 Kenya 116.32
8 Angola 113.29
9 Kodivaa 86.99
10 Tanzania 79.87
11 Ghana 75.31
12 Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia 72.48
13 Uganda 55.59
14 Kameruni 53.39
15 Tunisia 52.64
16 Libya 44.81
17 Zimbabwe 35.92
18 Senegal 33.69
19 Sudan 29.79
20 Zambia 25.91
21 Guinea 25.47
22 Msumbiji 22.50
23 Burkina Faso 21.86
24 Mali 21.65
25 Benin 21.32
26 Gabon 20.90
27 Botswana 19.97
28 Niger 19.60
29 Chad 18.67
30 Madagascar 17.21
31 Mauritius 15.89
32 Kongo, Jamhuri ya 15.04
33 Rwanda 13.66
34 Namibia 13.19
35 Guinea ya Ikweta 12.88
36 Somalia 12.73
37 Malawi 10.84
38 Mauritania 10.76
39 Togo 9.77
40 Sierra Leone 7.41
41 Sudan Kusini 5.27
42 Eswatini 5.15
43 Liberia 4.76
44 Djibouti 4.33
45 Burundi 4.29
46 Afrika ya Kati 2.82
47 Cape Verde 2.76
48 Gambia 2.69
49 Lesotho 2.30
50 Guinea-Bissau 2.19
51 Shelisheli 2.14
52 Komoro 1.45
53 Sao Tome na Principe 0.81
54 Saharawi --

Tazama pia

Tanbihi

  1. Moffatt, Mike. "A Beginner's Guide to Purchasing Power Parity Theory". About.com. IAC/InterActiveCorp. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-03-01. Iliwekwa mnamo 31 Mei 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Ito, Takatoshi; na wenz. (Januari 1999). "Economic Growth and Real Exchange Rate: An Overview of the Balassa-Samuelson Hypothesis in Asia" (PDF). Changes in Exchange Rates in Rapidly Development Countries: Theory, Practice, and Policy Issues. National Bureau of Economic Research. Iliwekwa mnamo 1 Juni 2014. {{cite web}}: Explicit use of et al. in: |author= (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "What is GDP and why is it so important?". Investopedia. IAC/InterActiveCorp. 26 Februari 2009. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "GDP rankings in Africa". visafrican. Visafrican.com. 23 Julai 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-05-21. Iliwekwa mnamo 23 Julai 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Callen, Tim (28 Machi 2012). "Purchasing Power Parity: Weights Matter". Finance & Development. International Monetary Fund. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Callen, Tim (28 Machi 2012). "Gross Domestic Product: An Economy's All". Finance & Development. International Monetary Fund. Iliwekwa mnamo 31 Mei 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya