Mifano
|
- Yangu imepotea
- Yetu imepotea
- Yake imepotea
- Yao imepotea
|
Viwakilishi vya kumiliki ni aina ya neno au maneno yanayosimama badala ya nomino inayomilikiwa. Maneno haya hujulisha kuwa nomino ambayo haikutajwa ni mali ya nani. Mizizi ya viwakilishi vya kumiliki imejikita katika nafsi.
Mfano:
Viwakilishi vya umiliki
Nafsi
|
Hali
|
Mzizi
|
Umoja |
Wingi
|
Kwanza |
Umoja |
yangu |
-angu
|
Wingi |
yetu |
-etu
|
Pili |
Umoja |
yako |
-ako
|
Wingi |
yenu |
-enu
|
Tatu |
Umoja |
yake |
-ake
|
Wingi |
yao |
-ao
|
Tazama pia
|
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Viwakilishi vya kumiliki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|