Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

 

Daudi wa Uswidi

Mt. Daudi alivyochorwa.

Daudi wa Uswidi, O.S.B. (pia: David av Munktorp; Uingereza, karne ya 10Vasteras, Uswidi, 1082) alikuwa mmonaki Mbenedikto wa urekebisho wa Cluny[1] aliyetumwa kama askofu mmisionari nchini Uswidi mwaka 1020 akaendelea[2] hadi alipofariki katika monasteri aliyoianzisha bila kupata kifodini alichotarajia[3] [4].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 15 Julai[5].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya