Orodha ya Watakatifu wa Afrika Yosefina Bakhita kutoka Darfur , Sudan ya leo.
Orodha ya Watakatifu wa Afrika hii inataja watu wanaoheshimiwa na Kanisa Katoliki au madhehebu mengine yoyote ya Ukristo kama watakatifu ambao walizaliwa, waliishi au walifariki barani humo (katika mabano mara nyingi inatajwa nchi ya leo).
Kabla ya Uislamu
Katika karne sita za kwanza za Kanisa , Afrika ililizalia watakatifu na viongozi wake wengi, bila kushindwa na dhuluma za Dola la Roma zilizoenea kote, Farakano la Donato na dhuluma ya Wavandali upande wa Ukristo wa Magharibi , farakano la Wakopti upande wa Ukristo wa Mashariki (lililofuata Mtaguso wa Kalsedonia , 451 ).
Watu wa Biblia
Mapapa wa Roma
Kati ya Mapapa wa Roma wa karne za kwanza watatu walizaliwa Afrika au Roma na wazazi kutoka Afrika. Wote hao wanaheshimiwa kama watakatifu:
Walimu wa Kanisa
Kati ya walimu wa Kanisa , watatu walitokea Afrika:
Wengine waliosomea Afrika ni:
Waandishi na wanateolojia
Waandishi na wanateolojia wengi walitokea Afrika au waliishi huko, kama vile watakatifu:
Achilas wa Aleksandria , Misri
Aleksanda I wa Aleksandria , Misri
Aleksanda wa Yerusalemu , Misri
Amoni Abati , Misri
Anastasi wa Sinai , Misri
Anatolius wa Laodikea , Misri
Aurelius wa Karthago , Tunisia
Didimo Kipofu , Misri
Epifani wa Salamina , Misri
Eugenius wa Karthago , Tunisia
Eulogi wa Aleksandria , Misri
Eusebi wa Vercelli , Misri
Filastri , Misri
Fulgensyo wa Ruspe , Tunisia
Isidori wa Pelusium , Misri
Klemens wa Aleksandria , Misri
Lusiferi wa Cagliari , Misri
Maksimo Muungamadini , Tunisia
Nilo wa Sinai , Misri
Optatus wa Milevi , Algeria
Orsisius wa Tabenna, Misri
Panfilo wa Aleksandria , Misri
Pantenus , Misri
Pierio , Misri
Ponsyo wa Karthago , Tunisia
Posidi , Tunisia
Saba abati , Misri
Serapioni wa Thmuis , Misri
Shenute , Misri
Sipriani mfiadini , Tunisia
Sofroni wa Yerusalemu , Misri
Quodvultdeus , Tunisia
Theofilo wa Aleksandria , Misri
Zeno wa Verona , Algeria
Wengineo
Abadir na wenzake , Misri
Abadiu wa Antinoe , Misri
Abaidus , Ethiopia
Abamun wa Tarnut , Misri
Abamun wa Tukh , Misri
Abanubi , Misri
Abashade , Misri
Abaskhiron , Misri
Abeluzius , Ethiopia
Abibi na Apoloni , Misri
Abidiani, Demetria, Donati, Gagus, Januaria, Juliana, Nepori, Paposiniki, Kwirini, Kwirus na wenzao 146, Afrika Kaskazini
Abili wa Aleksandria , Misri
Ablak , Ethiopia
Abnodi , Ethiopia
Abrahamu, Ethnus, Akrates, Yakobo na Yohane , Ethiopia
Abrahamu Fukara , Misri
Abrahamu wa Ethiopia
Abrahamu wa Farshut , Misri
Abrahamu wa Minuf , Misri
Abrahamu wa Skete , Misri
Abundanti, Adrasti, Agapius, Karisi, Donatila, Donati, Fortuni, Leo, Nisefori, Polokroni na wenzao 3, Afrika Kaskazini
Achilas wa Skete , Misri
Acutus, Anastasia, Candidus, Coelifloria, Felix, Honorius, Januaria, Jucundus, Lucianus, Marcus, Petrus, Secundus, Severus na Telesphorus , Afrika Kaskazini
Ada wa Ethiopia
Adiuto wa Cava , Afrika Kaskazini
Adriani, Vikta na Sekundili , Afrika Kaskazini
Adriani wa Canterbury , Afrika Kaskazini
Adrioni , Misri
Afesi, Aleksanda, Amfamoni, Apoloni, Arioni, Dionusi, Dioskoro, Elafa, Eunuko, Fabiani, Felisi, Fisosi, Gurdino, Hinus, Kapitolini, Kapitulini, Kresenti, Melei, Nika, Nisia, Panus, Panubri, Plebri, Pleosi, Theoma, Tuboni na Venusti , Afrika Kaskazini
Aflahos na wenzake , Misri
Afrodisi wa Afrika Kaskazini
Afrodisi wa Aleksandria na wenzake, Misri
Afrodisi wa Beziers , Misri
Aftse , Ethiopia
Agapio, Sekondino, Emiliani, Tertula, Antonia na wenzao 3, Algeria
Agatho, Ammonius, Aratus, Bastammonius, Bastamus, Bessammonius, Collutus, Cyriacus, Didymus, Dionysius, Dioscorus, Hero, Hippeas, Horpresius, Horus, Oecomeus, Orion, Pantherus, Papas, Papias, Paulo, Pethecus, Pinutus, Plesius, Potamon, Protea, Recombus, Recumbus, Romanus, Sarmata, Saturninus, Serapion, Theonas, Thionius na Zoticus , Misri
Agatho wa Aleksandria , Misri
Agatoni, Lusia na Diogene , Misri
Agatoni mkaapweke , Misri
Agileus , Tunisia
Agrari , Tunisia
Agripino wa Aleksandria , Misri
Akuli wa Aleksandria , Misri
Akuta, Kandidi, Konstansi, Eugenia, Firmus, Hilarini, Lusida, Marsiali, Penika, Posesa, Rogasiani na Statuniani , Afrika Kaskazini
Akwila wa Misri
Akwilinus, Geminus, Augenius, Marcianus, Kwintus, Teodotus na Trifoni , Moroko
Alef , Ethiopia
Aleksandra wa Misri
Alipius wa Thagaste , Algeria
Alonio , Misri
Alveri , Misri
Ambrosi wa Aleksandria , Misri
Amfiani na Vikta , Afrika Kaskazini
Amoes wa Skete , Misri
Amoni, Zeno, Tolomayo, Ingene na Theofilo , Misri
Amoni wa Aleksandria , Misri
Amoni wa Pentapoli , Libya
Ampeli wa Afrika , Tunisia
Ampelio mkaapweke , Misri
Anastasi wa Aleksandria , Misri
Anastazia wa Aleksandria , Misri
Anatoli wa Konstantinopoli , Misri
Anbes , Ethiopia
Androniko na Athanasia , Misri
Androniko wa Aleksandria , Misri
Aniano wa Aleksandria , Misri
Anthusa wa Afrika Kaskazini
Antioko, Mario, Dagioni, Menesidei, Mamori, Mamari, Petro na Gumus , Misri
Antioko wa Lyon , Misri
Antioko wa Sulcis , Algeria au Moroko
Antoni Abati , Misri
Anubu mmonaki , Misri
Anububisoyo, Joji, Basjela, Arnobi, Petro, Askirioni, Argenida na Belfijus , Misri
Apolo, Protei, Orioni na Plausi , Misri
Apolo wa Bawit , Misri
Apoloni na Filemoni , Misri
Apoloni wa Aleksandria , Misri
Apolonia wa Aleksandria na wenzake, Misri
Apriko, Sirioni, Sirioni mwingine, Eulogi, Hemerioni, Juliani, Julius, Yusto, Menelao, Oreste, Porfiri, Trifoni na Trifoni mwingine , Misri
Aprili, Autus, Katula, Koliondola, Yosefu, Rogati, Salito, Saturnini na Viktorini , Misri
Ares, Promo na Elia , Misri
Aresi na Rogati , Misri
Aretha mfiadini , Ruma na wenzao 340, 4,000 au 20,000, Ethiopia
Ariani mfiadini , Misri
Aristo , Misri
Arkadi, Paskasi, Probo, Eutikiani na Paulilo , Afrika Kaskazini
Arkadius wa Mauretania , Algeria
Armini wa Misri
Armogaste , Maskula , Arkimino na Saturus , Tunisia
Arponi , Misri
Arseni, Dioskoro, Heroni na Isidori , Misri
Artakse, Epictetus, Felicitas, Felix, Fortunatus, Jucundus, Pictus, Quietus, Quinctus, Rusticus, Secundus, Sillus, Vincent, Vitalis na wenzao 7, Afrika Kaskazini
Artemi , Misri
Artilai, Antoni, Asklipi, Asteksi, Basili, Bosimi, Donata, Emeriti, Emeteri, Eutiko, Felisi, Fortunati, Fosyo, Frunumi, Gajola, Georgi, Gorgoni, Hemeteri, Isiko, Janula, Julius, Karisimi, Kasti, Klaudiani, Lusiola, Marcha, Marinus, Meteri, Nisefori, Papias, Risini, Sabiani, Saviniani, Seledoni, Siriko na Soli , Afrika Kaskazini
Askla , Misri
Atanasi II wa Aleksandria , Misri
Atanasia, Teodosia, Teotista na Eudosia , Misri
Atro , Misri
Augusta na Faustina , Misri
Augusto wa Caserta , Afrika Kaskazini
Aurelia wa Aleksandria , Misri
Auriga, Klaudia na Rutile , Ethiopia
Awgin wa Klusma , Misri
Avitus mfiadini , Afrika Kaskazini
Barsanufi wa Gaza , Misri
Barsen , Misri
Basa, Paula na Agatonika , Tunisia
Basiani, Suksesi, Basiani, Primitivi, Tuno, Puplikano na wengine 18, Afrika Kaskazini
Basiano, Sirioni, Agatoni, Mose, Dionisi, Amoni, Tonioni, Proto, Lusio, Armata, Arbasi, Orus, Paulo, Plesius, Pasamona, Hipus na wenzao 10 au 14, Misri
Basilide wa Aleksandria , Misri
Batazoni, Palemoni na Garuma , Ethiopia
Bauli , Misri
Bazalota na Eufemia , Ethiopia
Benyamini na Bejoki , Misri
Benyamini I wa Aleksandria , Misri
Beresi, Lusius, Vikta, Dasi, Leusi, Viktoriki, Viktorisi, Faustini na Marsiali , Afrika Kaskazini
Besa wa Misri
Besarioni wa Misri
Besas , Misri
Bessus , Misri
Bona , Misri
Bonifasi, Tekla na wanao 12, Algeria
Damiani wa Aleksandria , Misri
Dasi, Juliani, Reatri, Vinsenti na wenzao 26, Afrika Kaskazini
Dasya wa Tanda , Misri
Defendente , Misri
Demetrius I wa Aleksandria , Misri
Demetri mfiadini , Afrika Kaskazini
Demiana na wenzake 40, Misri
Deogratias wa Karthago , Tunisia
Didara, Bisoe na Nor , Misri
Dionisi mfiadini , Afrika Kaskazini
Dionisi wa Aleksandria , Misri
Dionisya wa Vita na wenzake (Majoriko , Dativa , Leonsya wa Vita , Tersyo wa Byzacena , Emiliani wa Vita na Bonifasi wa Sicilibba ), Algeria
Dioskoro I wa Aleksandria , Misri
Dioskoro II wa Aleksandria , Misri
Dioskoro mfiadini (20 Agosti) , Misri
Dioskoro wa Qais , Misri
Dominiko, Vikta, Primiani, Saturnini, Kresensi, Sekundi na Honorati , Afrika Kaskazini
Domnini wa Digne , Afrika Kaskazini
Donasyani, Presidi, Mansueti, Jermano na Foskolo , Afrika Kaskazini
Donati, Justus na Herenas , Afrika Kaskazini
Donati, Makari na Theodori , Misri
Donati wa Afrika , Afrika Kaskazini
Donati wa Karthago , Tunisia
Dorotea wa Aleksandria , Misri
Doroteo wa Aleksandria , Misri
Dositeo wa Gaza , Misri
Edesi mfiadini , Misri
Elesbaan (Kalebu wa Aksum), Ethiopia
Elia na Simeoni Afamarie , Ethiopia
Elia, Yeremia, Isaya, Samweli na Danieli , Misri
Emiliani, Tertula na Antonia , Afrika Kaskazini
Emiliani, Lasi, Didimo, Poemi, Amoni na Prima na wenzao 38, Tunisia
Epenetus wa Karthago , Tunisia
Epifani, Donati na Rufini , Afrika Kaskazini
Epimako, Aleksanda, Merkuria, Dionisya na Amonaria , Misri
Epimako wa Pelusi , Misri
Erakla wa Aleksandria , Misri
Eroni, Atne, Isidori na Dioskoro , Misri
Esiki, Pakomi na Theodori , Misri
Esuperansi wa Cingoli , Afrika Kaskazini
Esuperi , Kandidi na Vikta , Misri
Eufrasi na Klarus , Afrika Kaskazini
Eufrasia wa Thebe , Misri
Eufrosina wa Aleksandria , Misri
Eugeni, Euganda na Abilandi , Misri
Eujeni, Salutari na Muriti , Tunisia
Eujeni wa Karthago , Tunisia
Eukari wa Aleksandria , Misri
Eulogi wa Edessa , Misri
Eumeni wa Aleksandria , Misri
Eusebi, Erakli, Dionisi na Septimi , Afrika Kaskazini
Eustrasi wa Sufres , Tunisia
Eutiko, Fortunati, Saturnini, Marsia, Vikta, Stefano na Januari , Afrika Kaskazini
Eutikyo , Misri
Eutimio wa Aleksandria , Misri
Eutropia wa Aleksandria , Misri
Evasi na Privati , Afrika Kaskazini
Ezana , Ethiopia
Fabius , Algeria
Fana wa Misri
Faustini, Lusius, Kandidi, Seliani, Marko, Januari na Fortunati , Afrika Kaskazini
Fausto, Abibi, Andrea, Androniko, Andropelagia, Kaldote, Makari, Sarpando, Siriaki, Siriaki mwingine, Thekla na Theosisti , Misri
Fausto, Dio na Amoni , Misri
Fausto, Kayo, Petro, Paulo, Eusebi, Keremone, Lucho na wenzao 2, Misri
Fausto shemasi , Misri
Fausto wa Aleksandria , Misri
Feliche Mwafrika , Algeria
Felichisimi , Tunisia
Felisi, Adaukti, Januari, Fortunati na Septimi , Algeria
Felisi, Lusioli, Fortunati na Marsia , Afrika Kaskazini
Felisi mfiadini (3 Februari) , Afrika Kaskazini
Felisi na Genadi , Tunisia
Felisi na Regula , Misri
Felisi, Niseta, Postiniana na Filipo , Afrika Kaskazini
Felisi wa Abbir , Sipriani wa Unizibira na wenzao 5,000 hivi, Tunisia
Felisi wa Afrika Kaskazini
Felisi wa Gerona , Tunisia
Felisi wa Hadrumetum , Tunisia
Felisi wa Thibiuca , Audactus , Fortunatus , Januarius na Septimus , Tunisia
Felisi wa Toniza , Tunisia
Felisiani na wenzake 125, Afrika Kaskazini
Felisiani wa Karthago , Tunisia
Fermo wa Karthago , Tunisia
Fidelis, Felisi, Kresenti, Liberati na wenzao 3, Afrika Kaskazini
Fidensyani, Valeriana, Viktorya na wenzao 17, Algeria
Fileas , Filoromus , Pakomi, Theodori, Petro, Fausto, Didius, Amoni, Hesiki na Viktorina na wenzao 642, Misri
Filipo mfiadini (13 Septemba) , Misri
Filipo, Narseo, Zeno na watoto kumi , Misri
Filothei wa Pemdje , Misri
Fiorenzo wa Nebbio , Afrika Kaskazini
Firmus wa Tagaste , Algeria
Florensiani wa Midila , Algeria
Fortunati, Felisi, Silvi, Vitalis, Apolo, Isaki na Krotate , Misri
Fortunati na Donati , Afrika Kaskazini
Fortunati na Lusiani , Afrika Kaskazini
Fortunati na Marsiani , Afrika Kaskazini
Fronti wa Perigueux , Misri
Fronto na wenzake 70, Misri
Frumensyo , Ethiopia
Galikani mfiadini , Misri
Garima , Ethiopia
Gaudensi, Felisi, Agapiti na Emeriti , Afrika Kaskazini
Gaudioso wa Napoli , Tunisia
Gayo, Joviani na Filipo , Moroko
Geranus , Misri
Gerasimo wa Yordani , Misri
Gereoni, Kasius, Gregori Maurus, Florenti, Inosenti, Konstantino, Viktori na wenzao, Misri
Grani, Hilari, Donati, Konsesi na Saturnini , Misri
Gregori, Arkelao na Felisisima , Afrika Kaskazini
Guba , Ethiopia
Gudene , Tunisia
Habetdeus wa Teudali , Tunisia
Helaniki na Begei , Misri
Heliodori na Venusti , Afrika Kaskazini
Heraklemon , Ethiopia
Herakli na Zosimo , Tunisia
Herme wa Numidia , Afrika Kaskazini
Hesiki wa Gaza , Misri
Hilarioni wa Gaza , Misri
Hipoliti wa Afrika , Afrika Kaskazini
Hor, Susia na wanao Hor na Agatho, Misri
Hortulani wa Afrika Kaskazini
Hugal, Emiliani, Motani, Safo, Sterkori na Vikta , Afrika Kaskazini
Ifigenia , Ethiopia
Inosenti askofu , Afrika Kaskazini
Irene wa Misri
Irenei wa Pentapoli , Libya
Ireus na Atanasi , Ethiopia
Isaka wa Tiphre , Misri
Isidora mkaapweke , Misri
Isidora Mpumbavu , Misri
Isidori wa Aleksandria , Misri
Isidori wa Kio , Misri
Isidori wa Misri
Isidori wa Skete , Misri
Iskirioni na wenzake 5, Misri
Iskirioni wa Aleksandria , Misri
Italo, Zotiko, Kamaro, Filipo na Atalo , Afrika Kaskazini
Januari, Masima, Makaria, Konsesa, Timori na Koneksi , Tunisia
Januari na Marino , Afrika Kaskazini
Jermani, Selestini na Santina , Misri
Jokondiani , Afrika Kaskazini
Jovenale wa Narni , Afrika Kaskazini
Julia wa Corsica , Tunisia
Juliani mfiadini , Misri
Juliani na Eunus , Misri
Juliani wa Afrika , Afrika Kaskazini
Juliani wa Aleksandria (mfiadini) , Misri
Juliani wa Aleksandria (patriarki) , Misri
Juliani wa Terracina , Tunisia
Julianus na Basilisa , Misri
Julius mfiadini , Misri
Julius, Potamia, Krispini, Felisi na Grati , Algeria
Kaisi, Kwintasi, Septimini, Venusti, Beatus, Sekundi, Donati, Sereni, Kresensi, Niseti, Vitalis, Firmini, Herakli na Eusebi , Tunisia
Kalojero wa Sisilia , Tunisia
Kandida , Tunisia
Kandidi na Piperioni , Misri
Kandidi na wenzake 21, Afrika Kaskazini
Kanio wa Atella , Tunisia
Karas mkaapweke , Misri
Kasiani wa Autun , Misri
Kasiani wa Tanja , Moroko
Kasio na Fiorenso , Misri
Kasto na Emilio , Tunisia
Kastori, Vikta na Rogasiani , Afrika Kaskazini
Kastrese , Afrika Kaskazini
Kastuli, Modesti, Rogato, Zotiko na wenzao 40 au 50, Misri
Katerina wa Aleksandria , Misri
Kato, Jermana, Geronsi, Januari, Julius, Paulo, Pia, Saturnini, Suksesi na wenzao, Algeria
Katulino, Adauti, Felisi, Florenti, Fortunansiani, Januari, Julia, Setimini na Yusta , Tunisia
Katulus, Tuskus, Valentini na Magarus , Afrika Kaskazini
Keladioni wa Aleksandria , Misri
Kedroni wa Aleksandria , Misri
Keremoni na wenzake , Misri
Kikosi cha Thebe , Misri
Klaudi, Krispini, Magina, Yohane na Stefano , Afrika Kaskazini
Klaudi na wenzake 194, Misri
Klaudiani, Sipriani, Donati, Felisi, Januari, Juliani, Lusiani, Marsiani, Marsiali, Petro, Kwiriani, Vikta na Vitalis , Afrika Kaskazini
Kluthi , Misri
Kointa , Misri
Kolegus na Kolotus , Misri
Koluthi , Misri
Kononi wa Aleksandria , Misri
Konstantino wa Karthago , Tunisia
Kopriko, Vikta na Donati , Libya
Korus, Katulini, Faustini, Felisi, Felisi, Nabori, Pleni, Salunus, Saturnini, Silvi, Soluti, Theodora, Theodori, Theoni, Ursus, Valeri, Venusti, Viktorini, Vikturus na Vitalis , Afrika Kaskazini
Kresenti wa Afrika Kaskazini
Kresenti wa Bizasi , Afrika Kaskazini
Kresentiani wa Afrika Kaskazini
Kresentiani, Vikta, Rusula na Generali , Tunisia
Kreskoni wa Tripoli , Libya
Kreskoni, Zeno, Menandri, Karini, Arioni, Ipoliti, Diodoro, Menelanti, Atora, Petro, Lambese, Lusiani na Felisi , Afrika Kaskazini
Krisanto , Misri
Krispina wa Tagora , Algeria
Krispini mfiadini , Afrika Kaskazini
Kronide, Leonsi, Serapioni, Seleusi, Stratoni na Valeriani , Misri
Kukufas , Tunisia
Kwadrato mfiadini , Algeria
Kwadrato wa Utica , Tunisia
Kwartilosa na wenzake 2, Tunisia
Kwintiani, Denisi, Juliani, Lucho, Paulo na wenzao 15, Afrika Kaskazini
Kwintiani, Eleuteri, Gayo, Aleksanda na Saturnini , Afrika Kaskazini
Kwintiani, Teodoli, Tekla na Festina , Afrika Kaskazini
Kwinto, Simplisi, Pompini, Paulo, Aritife, Kresto, Digno, Datulo, Felisiani, Musa, Rogasyani, Martiri, Orati, Evasi, Viktoria, Privati, Tino, Salvatori, Sito, Teturo, Vitoriko, Seliano, Setimino, Rustiko, Basa, Lucania, Onorati, Saturnini, Sesiliana, Namfamoni, Felisi, Vinsenti, Aresto, Museo, Sidino na Adiuto , Afrika Kaskazini
Laurenti na Ignasi , Tunisia
Leonidas wa Aleksandria , Misri
Leonides wa Thebe na wenzake, Misri
Leto wa Nefta , Tunisia
Leucho wa Brindisi , Misri
Liberati, Bonifasi, Servyo, Rustiko, Rogati, Setimo na Masimo , Tunisia
Liboso wa Beja , Tunisia
Likano , Ethiopia
Likarioni na Potamiona , Misri
Lonjino wa Pamaria , Algeria
Lucho, Montano, Juliano, Vitoriko, Vikta na Donasiani , Tunisia
Lukio wa Aleksandria , Misri
Lusiani, Metrobi, Paulo, Zenobi, Theotimo na Drusi , Libya
Mabikira Wafiadini (16 Desemba) , Afrika Kaskazini
Makari Mkuu , Misri
Makari wa Aleksandria (Makari Kijana), Misri
Makari wa Aleksandria (mfiadini) , Misri
Makari wa Fayum , Misri
Makari wa Libya , Misri
Makroni wa Thoni , Misri
Maksimiliani wa Tebessa , Algeria
Mamari, Felisi, Vikta, Albino na Domati , Algeria
Mamas wa Awlatos , Misri
Mames na Diskus , Misri
Manilo, Donati, Maurila, Lusiani, Viktorini na Nise , Afrika Kaskazini
Mansueti, Severi, Apiani, Donati na Honori , Misri
Mansueti wa Urusi , Tunisia
Mapaliko, Baso, Fortunio, Paulo, Fortunata, Viktorino, Viktori, Eremio, Kredula, Ereda, Donato, Firmo, Venusto, Frukto, Julia, Marziale na Aristone , Tunisia
Marcellus wa Tanja , Morocco
Maria wa Misri , Misri
Mariano na Januari , Afrika Kaskazini
Mariano, Yakobo, Sekondiani, Konkordi, Marinus, Heliodori, Saturnini, Silvani na wenzao, Algeria
Marina, Marsia, Emili na Felisi , Misri
Marko, Marsiano na wenzao , Misri
Marko mkaapweke (Libya)
Marko mkaapweke (Misri)
Marko mtawa , Misri
Marko II wa Aleksandria , Misri
Markulo wa Numidia , Algeria
Marseli wa Afrika , Afrika Kaskazini
Marselino, Satuli, Prokula, Kwiriako, Rejina na Saturnini na wenzao 4, Afrika Kaskazini
Marselino wa Embrun , Afrika Kaskazini
Marselino wa Karthago , Tunisia
Marselino, Vinsenti na Domninus , Afrika Kaskazini
Marsiali, Laurenti na wenzao 20, Algeria
Marsiana wa Mauretania , Algeria
Marsiano, Jukundi, Tolomea, Filipo, Yohane na Akra , Misri
Marsiano, Nikandro, Apolonio, Leonida, Areyo, Gorjo, Iperkio, Selenio, Irene na Pamboni , Misri
Martha mfiadini , Misri
Martiniani, Saturiani na wenzao 2, Algeria
Marusi, Restiti na Julius , Tunisia
Masima bikira , Algeria
Masima, Donatila na Sekunda , Tunisia
Masimiani wa Bagai , Algeria
Masimino wa Aix , Algeria
Masimo na Domasi , Misri
Masimo padri mfiadini , Misri
Masimo wa Aleksandria , Misri
Masimo wa Vuchim , Misri
Mauro mfiadini , Moroko
Mauro wa Parenzo , Afrika Kaskazini
Mavilus , Tunisia
Medilama , Misri
Melania Kijana , Algeria
Melas , Misri
Melesi, Suzana, Marsiana na Paladia , Misri
Melki wa Klusma , Misri
Memno wa Misri
Mena, Hermogene na Eugrafo , Misri
Mena wa Konstantinopoli , Misri
Menas , Misri
Metras, Saturnini, Tirso, Vikta, Tarsisi, Zotiko na Siriako , Misri
Meuris wa Aleksandria , Misri
Mikaeli wa Aragave , Ethiopia
Misaeli mkaapweke , Misri
Modesti, Eutiko, Mauro na Disei , Afrika Kaskazini
Modesti, Juliani na Posina , Tunisia
Modesti na Amoni , Misri
Modesti wa Aleksandria , Misri
Modesti wa Karthago , Tunisia
Modesti wa Yerusalemu , Misri
Mohrael , Misri
Monika , Algeria
Mora wa Benhor , Ethiopia
Morisi na wenzake, Misri
Moses wa Psammaniu , Misri
Murita wa Karthago , Tunisia
Musa Mwafrika , Ethiopia
Musa Mwarabu , Misri
Nabore , Algeria
Namfamo , Mijin , Sanami , Luchita , Adyuto, Aresto, Artifa, Besa, Datulo, Degno, Evasi, Felisi, Felisiani, Kresto, Kwarti, Kwinti, Lukania, Martiri, Mose, Museo, Onorato, Orato, Paulo, Pompini, Privati, Reduktula, Rogasiani, Rustiko, Salvatori, Saturnini, Setimini, Sesiliana, Seliani, Sidini, Simplisi, Sito, Teturo, Tino, Vikta, Viktorino, Vikturi, Vinsenti na wenzao, Algeria
Nemesi wa Aleksandria , Misri
Nemesiani, Feliche, Lucho, Feliche, Liteo, Poliano, Vikta, Iader na Dativus , Algeria
Neopuli , Misri
Nikanda mfiadini , Misri
Nilamoni , Misri
Nimfidi, Saturnini, Taurini, Nemorati na Arapolini , Misri
Nino, Vikta, Nobilitani, Mariani, Lusius, Tinus, Kresensi, Rufiniani, Donati, Defensa, Rustisi, Serviliani, Sokrate, Veneri, Januari, Mustoli, Kwintini, Memi, Isitani, Magnili, Prima, Donata, Severa, Viktoria na Basilia , Moroko
Numidiko , Tunisia
Oktavi, Solutori na Aventori , Misri
Oktaviani wa Karthago , Tunisia
Oliva wa Palermo , Tunisia
Orikuli , Tunisia
Orioni, Emili na Agnati , Misri
Orisi mmonaki , Misri
Ospisi wa Nizza , Misri
Otimus , Misri
Pafnusi Mkaapweke , Misri
Pafnusi wa Aleksandria , Misri
Pafnusi wa Tebe , Misri
Pafnusi wa Tentyra , Misri
Pakomi , Misri
Paladi, Kotili, Adrami, Musa, Esas na Palikoni , Misri
Palemoni , Misri
Pambo wa jangwani , Misri
Pansofi , Misri
Pantelewon , Ethiopia
Papias na Donati , Afrika Kaskazini
Papiniani wa Vita , Tunisia
Parmeni, Herakli, Eliasi, Apoloni, Eudomi, Anovi na Publi , Misri
Patapi wa Thebe , Misri
Patermuti, Kopra na Aleksanda , Misri
Paterni wa Roma , Misri
Paulo Mnyofu , Misri
Paulo wa Afrika , Afrika Kaskazini
Paulo wa Tebe , Misri
Paulo wa Tammah , Misri
Paulo, Suksesi, Viktorini, Saturus, Misor, Geronsi, Lukresya, Januari, Agapiti, Krusesus, Eufra, Floridus na Teokosi , Afrika Kaskazini
Peleo, Nilo, Elio na Patermusi , Misri
Pelusi wa Aleksandria , Misri
Perpetua , Felista , Revocatus Saturninus , Saturus na Sekondinus na wenzao, Tunisia
Petro na Afrodisi , Afrika Kaskazini
Petro I wa Aleksandria , Misri
Petro II wa Aleksandria , Misri
Petro III wa Aleksandria , Misri
Petro IV wa Aleksandria , Misri
Petro, Severus na Leucho , Misri
Petro, Suksesi, Basiani, Primitivi, Tuno, Puplikano na wenzao 18, Afrika Kaskazini
Petro wa Ethiopia
Piamun , Misri
Pijimi , Misri
Piniani , Algeria
Pishoi , Misri
Plutarko, Potamiena, Sereno, Eraklide, Erone, Sereno, Eraide na Marsela , Misri
Poemen , Misri
Polieni, Serapioni na Justili , Misri
Polikarpo wa Misri
Polius na Eutiki , Algeria
Ponsyo wa Pradleves , Misri
Porfiri wa Aleksandria , Misri
Porfiri wa Gaza , Misri
Potamoni, Ortasi na Serapioni , Misri
Potamoni wa Herakleopoli , Misri
Primo, Aksidi na Pasimoni , Afrika Kaskazini
Primo na Donato , Algeria
Primo wa Aleksandria , Misri
Prisko, Kastrensi, Tamaro, Rosyo, Herakli, Sekundini, Auditori, Marko, Augusti,Elipidi, Kanioni na Vindomi , Algeria
Pristi, Sevi, Kwadrati, Sundofagi, Astusi, Diomede, Zotiko, Zatamgeli na Moisei , Misri
Proteri , Misri
Proto na Yasinto , Misri
Publi wa Afrika , Afrika Kaskazini
Publio, Juliani, Marseli, Marubi, Juliani, Barasea, Tulius, Lampasi, Majoli, Julius, Paulo, Maksimila, Publio na Juliani , Afrika Kaskazini
Publio, Saturnini, Mauriani, Libosi na Vinsensia , Afrika Kaskazini
Publio, Vikta, Herme na Papias , Moroko
Quintiani wa Rodez , Tunisia
Rais bikira , Misri
Rebeka wa Aleksandria , Misri
Restituta wa Teniza , Tunisia
Restitutus wa Karthago , Tunisia
Revokati, Saturi, Felisi, Saturnini na Gelasi , Afrika Kaskazini
Revokati, Saturnini, Saturi na Sekunduli , Afrika Kaskazini
Ripsime na wenzake , Misri
Rogasyani wa Karthago , Tunisia
Rogati mfiadini , Afrika Kaskazini
Rogati na Suchesi , Afrika Kaskazini
Rogati, Saturnini, Faustini na Marsiali , Afrika Kaskazini
Rufino, Marko na Valeri , Afrika Kaskazini
Rufino na Rufo , Misri
Rufo, Prisko, Optioni, Amoni, Yusto, Abdas, Asenei, Silvani, Magnili, Paternika, Septimia, Julia, Potamia na Hospia , Moroko
Rufo wa Misri
Rustiko wa Lambesa , Algeria
Rutilio , Afrika Kaskazini
Sabino, Lusiani, Petro, Amabili, Nonina, Salvus, Agripiani, Medaduli na Respektati , Afrika Kaskazini
Sabino wa Minya , Misri
Saizana , Ethiopia
Saloni, Masimo, Hilari na Konsesi , Moroko
Salusi , Ethiopia
Salutari wa Karthago , Tunisia
Salvius , Tunisia
Samueli wa Kalamun , Misri
Sara na wanae , Misri
Sara wa jangwani , Misri
Sarmata , Misri
Satiro wa Milano , Afrika Kaskazini
Saturnini, Faustini na Nafiani , Afrika Kaskazini
Saturnini, Klaudi, Primo, Flaviani, Zotiko, Asteri, Karo na Saturi , Afrika Kaskazini
Saturnini, Nerei na Serea , Algeria
Saturnini wa Karthago (askofu) , Tunisia
Saturnini wa Karthago (padri) , Tunisia
Saturninus , Dativus , Viktoria na wenzao , Tunisia
Sebastiani wa Thebe , Misri
Sehma , Ethiopia
Sekondino wa Apulia , Afrika Kaskazini
Sekundi wa Aleksandria , Misri
Sekundo wa Thebe , Misri
Sekundulo na Romulo , Algeria
Selerina wa Karthago , Tunisi
Selerino wa Karthago , Tunisia
Seleuko wa Aleksandria , Misri
Semproni wa Afrika , Afrika Kaskazini
Senuthi wa Buasti , Misri
Serapioni, Trofimo, Melei, Evangeli, Proposi, Atali, Zeno, Makrobi, Menei na Trofima , Misri
Serapioni wa Aleksandria (mfiadini) (wako watatu), Misri
Serapioni wa Pentapoli , Libya
Serboni , Afrika Kaskazini
Serdo askofu , Misri
Sereali, Populi, Kayo, Serapioni na Proteri , Misri
Servus wa Tuburbium , Tunisia
Sesari wa Nazienzi , Misri
Sesari wa Terracina , Tunisia
Sesili wa Karthago , Tunisia
Severi mfiadini , Algeria
Severi, Sekundi, Januari na Viktorini , Algeria
Severianus na Akwila , Algeria
Shamul wa Taraphia , Misri
Silvani, Rutuli, Klasiki, Sekundi, Fruktuli, Masimo, Damasi, Paulo na Marsiali , Afrika Kaskazini
Silvano wa Terracina , Afrika Kaskazini
Simeoni na Yohane , Misri
Simeoni wa Thou , Misri
Simfroni na Ipoliti , Afrika Kaskazini
Simoni wa Tapcho , Misri
Sinkletika , Misri
Siprila wa Kurene , Libya
Siriaki na Paula , Tunisia
Siriaki, Apolinari, Saturnini, Beliko, Persei, Krisini, Primo na Januari , Afrika Kaskazini
Siriaki, Ekomini, Peleoniki, Zotiki na mwenzao , Afrika Kaskazini
Siriaki, Valeria, Marsia, Diogene na Mika , Afrika Kaskazini
Sirili, Rogati, Felisi, Beati, Herenia, Felisita, Urbani, Silvani, Mamili, Dasiani na Jokundi , Afrika Kaskazini
Sirius askofu , Tunisia
Sirius na Serapioni , Misri
Siro na Yohane , Misri
Siro wa Karthago , Tunisia
Sisini wa Tantatho , Misri
Sisoi Mkuu , Misri
Sofia, Dilbamonia, Bistamonia na Warsenofa , Misri
Sofia wa Misri
Sofroni, Amaranti, Kwinti na Lusius , Tunisia
Speratus na wenzake , Tunisia
Suksesi, Paulo na Lusio , Tunisia
Talida , Misri
Tamaro wa Benevento , Afrika Kaskazini
Taski, Dubitati, Valensi na Donati , Afrika Kaskazini
Tekle Hawarjat na Gebre Yohane , Ethiopia
Temeda, Armeni na wenzao , Misri
Teodoli , Misri
Teoduli, Amesi, Felisi na Kornelia , Afrika Kaskazini
Terensi, Afrikano, Masimo, Pompeo, Zeno, Aleksanda, Theodoro na wenzao 33 au 43, Tunisia
Thadei mfiadini , Ethiopia
Thais , Misri
Thea wa Aleksandria , Misri
Theodora, Didimo, Afrodisi na Viktorini , Misri
Theodora wa Aleksandria , Misri
Theodori wa Aleksandria , Misri
Theodori wa Misri
Theodori wa Shotep , Misri
Theodori wa Tabennese , Misri
Theodoro wa Kurene , Libya
Theodoro wa Pentapoli , Libya
Theodosi I wa Aleksandria , Misri
Theodoto wa Libya
Theofili na Heladi , Libya
Theofredi wa Thebe , Misri
Theogene na wenzake 36, Algeria
Theonas wa Aleksandria , Misri
Theonas wa Misri
Theotiko wa Aleksandria , Misri
Thoma wa Shenshif , Misri
Thoma wa Tanphot , Misri
Tigre , Misri
Timoteo wa Mauretania , Algeria
Timotheo I wa Aleksandria , Misri
Timotheo II wa Aleksandria , Misri
Timotheo IV wa Aleksandria , Misri
Timotheo Msomaji na mkewe Maura , Misri
Timotheo, Zotiko, Italiki, Zoilus na Jelati , Afrika Kaskazini
Tipasi , Algeria
Titoes , Misri
Tolemayo bin Eparki , Misri
Tomais wa Aleksandria , Misri
Trifoni wa Misri
Trofimo na Tiberi , Misri
Tuliani, Antia, Siriaki na Amoni , Misri
Urbani wa Jerba , Tunisia
Urso wa Thebe , Misri
Valeriano wa Avensano , Tunisia
Varo na wenzake , Misri
Vendemiale , Tunisia
Verena wa Zurzach , Misri
Veruli, Sekundini, Sirisi, Felisi, Servuli, Saturnini na Fortunati , Afrika Kaskazini
Viatori wa Lyon , Misri
Viche wa Sabrata , Libya
Vikta askofu , Tunisia
Vikta Mwafrika , Algeria
Vikta na Maloso , Misri
Vikta na Stefano , Misri
Vikta, Sterkori, Emiliani, Hugalo, Safius na Montano , Afrika Kaskazini
Vikta, Urbani na Sapargi , Afrika Kaskazini
Vikta wa Afrika , Algeria
Vikta wa Asyut , Misri
Vikta wa Kaisarea , Algeria
Vikta mfiadini , Misri
Vikta wa Marseille , Misri
Vikta wa Solothurn , Misri
Vikta, Viktorini, Adyutus, Kwarto, Moyeseti, Kwinti na Simplisi , Moroko
Viktori, Felisi, Narsisi na Argirus , Afrika Kaskazini
Viktori, Marinus, Perpetua, Julia, Honori, Urbani na Privatula , Afrika Kaskazini
Viktori wa Vita , Algeria
Viktoria wa Culusi , Tunisia
Viktoria wa Karthago , Tunisia
Viktoriani, Frumenti na wenzao , Tunisia
Viktorini, Eusiri, Paulo, Donati na Fortunati , Afrika Kaskazini
Viktorini, Vikta, Nisefori, Klaudiani, Dioskoro, Serapioni na Papias , Misri
Vikturus, Evasi, Privati, Januaria, Donata, Spisina, Kwirili na Makari , Afrika Kaskazini
Vinsenti wa Digne , Afrika Kaskazini
Vitalis wa Gaza , Misri
Wadamun , Misri
Wafiadini wa Afrika (6 Januari) , Afrika Kaskazini
Wafiadini wa Afrika Kaskazini (16 Oktoba) , Afrika Kaskazini
Wafiadini wa Afrika Kaskazini (30 Oktoba) , Afrika Kaskazini
Wafiadini wa Aleksandria (17 Machi) , Misri
Wafiadini wa Aleksandria (10 Agosti) , Misri
Wafiadini wa Aquae Regiae , Algeria
Wafiadini wa gonjwa la Sipriani , Misri
Wafiadini wa Ijumaa Kuu wa Aleksandria , Misri
Wafiadini wa imani sahihi wa Afrika (12 Oktoba) , Afrika Kaskazini
Wafiadini wa imani sahihi wa Aleksandria (9 Februari) , Misri
Wafiadini wa imani sahihi wa Aleksandria (13 Mei) , Misri
Wafiadini wa imani sahihi wa Aleksandria (356) , Misri
Wafiadini wa imani sahihi wa Misri (21 Mei) , Misri
Wafiadini wa Lycopolis , Misri
Wafiadini wa Masula , Tunisia
Wafiadini wa Misri ya Juu , Misri
Wafiadini wa Nitria , Misri
Wafiadini wa Numidia , Algeria
Wafiadini wa Pentekoste wa Aleksandria , Misri
Wafiadini wa Raithu , Misri
Wafiadini wa Sais , Misri
Wafiadini wa Shiheet , Misri
Wafiadini wa Sufetula , Tunisia
Wafiadini wa Thebe , Misri
Wafiadini wa Voli , Tunisia
Wafiadini wa Utica , Tunisia
Wafiadini Wamersedari wa Damieta , Misri
Wanas , Misri
Yakobo, Abrahamu na Yohane , Misri
Yared wa Ethiopia
Yemata , Ethiopia
Yeremia mfiadini , Misri
Yohane I wa Aleksandria , Misri
Yohane Mbilikimo , Misri
Yohane Mwenyehuruma , Misri
Yohane wa Bizane , Ethiopia
Yohane wa Misri , Misri
Yohane wa Senhout , Misri
Yosefu, Priori na Besarioni , Misri
Yusta na Eredina , Afrika Kaskazini
Yusto na Theoklia , Misri
Yusto na wenzake , Afrika Kaskazini
Yusto wa Aleksandria (askofu) , Misri
Yusto wa Aleksandria (mfiadini) , Misri
Yusto wa Lyon , Misri
Zosimo wa Karthago , Tunisia
Zota mfiadini , Libya
Karne za Kati
Baada ya Waarabu kuteka Afrika Kaskazini yote (karne ya 7 ), Kanisa Katoliki karibu lilitoweka barani humo. Walibaki zaidi Wakristo wa Kikopti kuanzia Misri hadi Ethiopia, wakiwa na wamonaki wengi sana. Kati ya watakatifu waliowahi kuishi au kufika Afrika katika karne za kati maarufu zaidi ni:
Eumeni wa Gortina , askofu kutoka Krete , Ugiriki (karne ya 7 hivi, Misri)
Agatho wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 680, Misri)
Simeoni I wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 699, Misri)
Aleksanda I wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 729, Misri)
Kosma I wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 730, Misri)
Theodoro I wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 742, Misri)
Febronia wa Akhmim , bikira mfiadini kutoka Syria (hadi 749, Misri)
Mikaeli I wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 767, Misri)
Yohane IV wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 799, Misri)
Yakobo wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 830, Misri)
Simeoni II wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 830, Misri)
Yosefu I wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 849, Misri)
Mikaeli II wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 851, Misri)
Joji wa Cordoba , mmonaki shemasi (kabla ya 852, Afrika Kaskazini)
Eutimi wa Sardi , askofu mkuu wa Sardi (804 hivi, Pantelleria )
Elia wa Enna , mmonaki Mbazili kutoka Sicilia (859-878, Misri na nchi nyingine)
Shenuda I wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 880, Misri)
Andrea, Yohane, Petro na Antoni , wafiadini kutoka Italia (890, Tunisia)
Mikaeli III wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 907, Misri)
Gabrieli I wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 920, Misri)
Makari I wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 953, Misri)
George El Mozahem , mfiadini wa Kikopti (940-969, Misri)
Abrahamu wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 978, Misri)
Simoni Mshonangozi , mlei wa Kikopti (karne ya 10, Misri)
Pafnusi wa Nitria , askofu wa Kikopti (karne ya 10, Misri)
Simoni wa Mercurio , mmonaki wa Kibazili kutoka Italia (karne ya 10, Afrika Kaskazini)
Bononi , mmonaki Mbenedikto kutoka Italia (975-995, Misri)
Zakaria wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 1032, Misri)
Simeoni wa Siracusa , mmonaki shemasi kutoka Italia na Ugiriki (miaka kadhaa hadi 1026)
Sirili II wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 1092, Misri)
Mikaeli IV wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 1102, Misri)
Makari II wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 1128, Misri)
Gabrieli II wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 1145, Misri)
Mikaeli V wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 1146, Misri)
Bashinuna , mmonaki mfiadini wa Kikopti (hadi 1164, Misri)
Girgis wa Asiut na wenzake 5,000, wafiadini (hadi 1169, Misri)
Yohane wa Matha , mwanzilishi wa Watrinitari aliyefanya utume Afrika Kaskazini mwanzoni mwa karne ya 13
Iyasus Mo'a , mmonaki wa Ethiopia (1214-1294)
Fransisko wa Assisi , mwanzilishi wa Ndugu Wadogo aliyetangaza Injili Misri (1219)
Berardo, Petro, Oto, Akursius na Adiutus , Ndugu Wadogo wafiadini nchini Moroko (1220)
Danieli, Anyelo, Samweli, Domino, Leo, Ugolino na Nikola Ndugu Wadogo wafiadini huko Ceuta , mpakani mwa Moroko (1227)
Ramon Nonat , padri wa Wamersedari (kati ya 1225 na 1239, Algeria)
Serapioni Scott , padri mfiadini wa Wamersedari (1240, Algeria)
Petro Nolasco , mwanzilishi wa Wamersedari (1245, Algeria)
Wafiadini Wamersedari wa Damieta (1250 hivi, Misri)
Parsoma , mmonaki wa Kikopti (1257-1317, Misri)
Louis IX , mfalme wa Ufaransa aliyefariki Tunisia (1270)
Wiliamu Saggiano , mtawa mfiadini wa Wamersedari (1270, Algeria)
Ewostatewos , mmonaki wa Ethiopia (1273-1352)
Petro Kamino , mtawa mfiadini wa Wamersedari (1284, Tunisia)
Matia Marko , mtawa mfiadini wa Wamersedari (1293, Tunisia)
Antonio Vallesio , mtawa mfiadini wa Wamersedari (1293, Tunisia)
Pere Ermengol , mtawa mfiadini wa Wamersedari (1304, Algeria)
Tekle Haymanot , mmonaki wa Ethiopia (1215-1313)
Aleksanda wa Sisili , mtawa mfiadini wa Wamersedari (1317, Tunisia)
Gulielmo wa Firenze , mtawa mfiadini wa Wamersedari (1330, Algeria)
Filotheo wa Durunka , mfiadini (hadi 1380, Misri)
Samweli wa Dabra Wagag , mmonaki wa Ethiopia (1350 hadi mwanzo wa karne ya 15 )
Absadi , mmonaki mfiadini wa Eritrea (hadi 1381)
Petro wa Mt. Maria , mtawa mfiadini wa Wamersedari (1361, Afrika Kaskazini)
Simoni wa Lara , mtawa mfiadini wa Wamersedari (1361, Afrika Kaskazini)
Petro wa Bearn , mtawa mfiadini wa Wamersedari (1364, Tunisia)
Mathayo I wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 1408, Misri)
Giyorgis wa Segla , mmonaki wa Ethiopia (1365-1425)
Mathayo II wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 1465, Misri)
Yohane wa Grenada , mtawa mfiadini wa Wamersedari (1428, Algeria)
Petro Malasanch , mtawa mfiadini wa Wamersedari (1428, Algeria)
Jeromu wa Pratis , mtawa mfiadini wa Wamersedari (1431, Tunisia)
Fransisko, Yakobo na wenzao , watawa wafiadini wa Wamersedari (1437, Moroko)
Egidi, Luis, Yohane na Paulo , watawa wafiadini wa Wamersedari (Moroko)
Diego wa Alkala , bruda wa Ndugu Wadogo (1441-1450, Visiwa vya Kanari )
Laurenti Company , mkuu wa Wamersedari (1452-1467, Tunisia)
Kristos Samra , mwanamke mmonaki wa Ethiopia (karne ya 15)
Samweli wa Waldebba , mmonaki wa Ethiopia (karne ya 15)
Gebre Menfes Kidus , mmonaki wa Misri nchini Ethiopia
Nyakati zetu
Kati ya walioishi baadaye kuna (miaka na nchi ya Afrika alipoishi):
Gabrieli VII wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 1570, Misri)
Embakomu , mmonaki (1489-1565, Ethiopia)
Lebna Dengel , mfalme wa Ethiopia (1500-1540)
Benedikto Mwafrika , mtawa wa Ndugu Wadogo (mtoto wa watumwa, Sicilia , Italia )
Yosefu wa Anchieta , padri wa Wajesuiti (1534-1548, Visiwa vya Kanari)
Fransisko Saveri , padri wa Wajesuiti (1541-1542, Msumbiji )
Yohane XIV wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 1586, Misri)
Walatta Petros , (1592-1642, Ethiopia)
Fasilides , mfalme wa Ethiopia (1603-1667)
Vinsenti wa Paulo , padri mwanzilishi wa mashirika mawili (1605-1606, Tunisia)
Petro wa Betancur , mtawa mwanzilishi (1626-1649, Visiwa vya Kanari)
Yasay , mmonaki (karne ya 17 , Ethiopia)
Ibrahim El-Gohary , waziri mkuu wa Misri (hadi 1795, Misri)
Moallem Malati , mfiadini (hadi 1803, Misri)
Sidhom Bishay , mfiadini (hadi 1844, Misri)
Petro VII wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (hadi 1852, Misri)
Sirili IV wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (1816-1861, Misri)
Abrahamu wa Faiyum , askofu wa Wakopti (1829-1914, Misri)
Sirili V wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (1831-1927, Misri)
Emilia wa Vialar , bikira mwanzilishi (1832-1852, Algeria, Tunisia, Libya, Misri)
Justino de Jacobis , askofu wa Wavinsenti (1838-1860, Ethiopia na Eritrea )
Antoni Maria Claret , askofu mwanzilishi wa shirika (1848-1849, Visiwa vya Kanari)
Wafiadini wa Uganda (1851-1887, Uganda na Tanzania ):
Mariam Baouardy , bikira wa Wakarmeli Peku , Kanisa Katoliki la Kimelkiti (1854-1859, Misri)
Onesimo Nesib , mmisionari Mlutheri wa Waoromo (1856-1931, Ethiopia)
Daniel Comboni , askofu Mkatoliki na mwanzilishi (1857-1881, Misri, Sudan na Sudan Kusini )
Josefina Bakhita , bikira wa shirika la Wakanosa (1869-1885, Sudan na Misri)
Yakobo Berthieu , padri na mfiadini wa Wajesuiti (1875-1896, Madagaska )
Charles de Foucauld , padri mkaapweke na mfiadini (1858-1916, Algeria)
Habib Girgis , shemasi wa Kikopti (1876-1951, Misri)
Abdel Messih El-Makari , mmonaki padri wa Kikopti (1892-1963, Misri)
Sirili VI wa Aleksandria , patriarki wa Kanisa la Kikopti (1902-1971, Misri)
Yusto El-Antony , mmonaki wa Kikopti (1910-1976, Misri)
Gabriel Abdel El-Metgaly , padri mfiadini wa Kikopti (1918-1978, Misri)
Wafiadini wa Kosheh , (karne ya 20-2000, Misri)
Wafiadini Wakopti wa Libya (karne ya 20-2015, Misri, Libya)
Matthew Ayariga , mfiadini (karne ya 20-2015, Ghana , Libya)
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu Orodha ya Watakatifu wa Afrika kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .
Information related to Orodha ya Watakatifu wa Afrika