Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

 

Korus na wenzake

Korus na wenzake Katulini, Faustini, Felisi, Felisi, Nabori, Pleni, Salunus, Saturnini, Silvi, Soluti, Theodora, Theodori, Theoni, Ursus, Valeri, Venusti, Viktorini, Vikturus na Vitalis ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini waliouawa kwa ajili ya imani yao.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 23 Aprili au 25 Oktoba[1].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Information related to Korus na wenzake

Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya