Deogratias wa Karthago [ 1] [ 2] alikuwa askofu wa mji huo (katika Tunisia ya leo) katika miaka 454 - 457 [ 3] .
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu [ 4] .
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Januari [ 5] au 22 Machi [ 6] [ 7] [ 8] .
Maisha
Inawezekana ni mtu yuleyule aliyetajwa mara nne na Augustino wa Hippo katika maandishi yake kama shemasi Deogratias halafu kama padri Deogratias[ 9] .
Kutokana na dhuluma za Wavandali [ 10] , kabla yake jimbo la Karthago lilikaa bila askofu miaka 14 tangu alipofariki Quodvultdeus na baada yake kwa miaka 23 tena hadi alipoteuliwa Eugenius wa Karthago [ 11] [ 12] [ 13] ..
Deogratias aliuza vitu vyote vya thamani vya Kanisa ili kukomboa waliokuwa wametekwa na Wavandali kama watumwa mjini Roma akawalaza na kuwalisha katika mabasilika mawili.
Tazama pia
Tanbihi
↑ Jr, Rev John Trigilio; Brighenti, Rev Kenneth (2010-01-06). Saints For Dummies (kwa Kiingereza). John Wiley & Sons. ISBN 9780470606919 .
↑ "African saints: St Deogratias of Carthage" . The mouth of a labyrinth (kwa American English). 2013-03-22. Iliwekwa mnamo 2017-09-28 .
↑ Watkins, Basil (2015-11-19). The Book of Saints: A Comprehensive Biographical Dictionary (kwa Kiingereza). Bloomsbury Publishing. ISBN 9780567664150 .
↑ "Mar 22 - St Deogratias (d. 457) - Catholicireland.net" . Catholicireland.net (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2018-11-11 .
↑ Martyrologium Romanum
↑ Butler, Alban (1815). The Lives of the Fathers, Martyrs, and Other Principal Saints: Compiled from Original Monuments and Other Authentic Records, Illustrated with the Remarks of Judicious Modern Critics and Historians (kwa Kiingereza). J. Murphy.
↑ Online, Catholic. "St. Deogratius - Saints & Angels - Catholic Online" . Catholic Online (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2017-09-28 .
↑ "Saint Deogratias, Bishop of Carthage, Confessor. March 22. Rev. Alban Butler. 1866. Volume III: March. The Lives of the Saints" . www.bartleby.com . Iliwekwa mnamo 2017-09-28 .
↑ Mandouze, Prosopographie de l'Afrique chrétienne , p. 272.
↑ "Feast of St. Deogratias (March 22)" . SUNDRY THOUGHTS (kwa American English). 2011-01-24. Iliwekwa mnamo 2017-09-28 .
↑ "St. Deogratias | SUNDRY THOUGHTS" . neatnik2009.wordpress.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-28. Iliwekwa mnamo 2017-09-28 .
↑ "Mar 22 - St Deogratias (d. 457) - Catholicireland.net" . Catholicireland.net (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2017-09-28 .
↑ "Holy Spirit Interactive: Catholic Saints - St. Deogratias" . www.holyspiritinteractive.net . Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-28. Iliwekwa mnamo 2017-09-28 .
Marejeo
(Kifaransa) Joseph Mesnage, L'Afrique chrétienne , Paris 1912, pp. 5-6
(Kilatini) Stefano Antonio Morcelli, Africa christiana , vol. I, Brescia 1816, p. 54
(Kifaransa) Anatole Toulotte, Géographie de l'Afrique chrétienne. Proconsulaire , Rennes-Paris 1892, pp. 89-90
(Kifaransa) André Mandouze, Prosopographie chrétienne du Bas-Empire, 1. Prosopographie de l'Afrique chrétienne (303-533) , Paris, Éditions du Centre National de la Recherche Scientifique, 1982, pp. 271-273