Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

 

Jaribio U la Mann-Whitney

Katika takwimu, Jaribio U la Mann-Whitney (kwa Kiingereza: Mann–Whitney U test; linaitwa pia: Mann–Whitney–Wilcoxon (MWW), Wilcoxon rank-sum test, au Wilcoxon–Mann–Whitney test) ni jaribio la takwimu ambalo linaweza kujaribu upweke baina ya kati mbili.

Linapatwa kwa hesabu kama Jaribio U.

Kwa programu ya takwimu R

Ili utafute Jaribio U la Mann-Whitney kwa lugha ya programu ya takwimu R uandike:

> wilcox.test(y ~ A, data=SampuliYangu) #y ni kibadilika na A ni vikundi

Marejeo

  • Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
  • Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jaribio U la Mann-Whitney kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya