Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

 

Louis Ignarro

Louis Ignarro

Louis Ignarro (amezaliwa 31 Mei, 1941) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mawasiliano ndani ya seli. Mwaka wa 1998, pamoja na Robert Furchgott na Ferid Murad, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Louis Ignarro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya