Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

 

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1828

Uchaguzi wa Raisi wa Marekani wa mwaka 1828 ulikuwa ni uchaguzi wa 11 katika historia ya Marekani. Uchaguzi huo Ulifanyika tarehe 31 Oktoba hadi 2 Desemba. Upande wa "[[Chama cha Kidemokrasia cha Marekani|Democratic Party", Andrew Jackson (pamoja na kaimu wake John C. Calhoun) alimshinda Rais John Quincy Adams (pamoja na kaimu wake Richard Rush).

Matokeo

Jackson akapata kura 178 na Adams 83. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.

Information related to Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1828

Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya