Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

 

Anna-Marie Keighley

Anna-Marie Keighley (alizaliwa 30 Juni 1982) nimwamuzi wa mpira wa miguu wa Nyuzilandi.

Amechezesha mechi katika ngazi ya kimataifa tangu mwaka 2010, ikiwa pamoja na Kombe la Dunia la FIFA la wanawake na mashindano ya Summer Olympics. [1]

Nje ya kazi ya uamuzi, pia ni mwalimu wa shule ya Rototuna Senior High School. [2] [3]

Marejeo

  1. "Anna-Marie Keighley gets the nod to referee at the Olympic Games". Iliwekwa mnamo 25 Juni 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Referee experts sing the praises of ex Taranaki football referee". Iliwekwa mnamo 25 Juni 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "First couple of Kiwi refereeing make history". New Zealand Football. Iliwekwa mnamo 25 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anna-Marie Keighley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Information related to Anna-Marie Keighley

Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya