Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

 

Baraza la Mapinduzi Zanzibar

Baraza la Mapinduzi pamoja na Baraza la Wawakilishi la Zanzibar hufanya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Jukumu kuu la baraza ni kumshauri Rais wa Zanzibar, ambaye ni mkuu wa serikali.

Baraza linaundwa na wanachama wafuatao: [1]

  • Rais wa Zanzibar, ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza
  • Makamu wa kwanza na makamu wa pili wa rais
  • Mawaziri wote wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
  • Wajumbe wengine walioteuliwa na Rais wa Zanzibar

Marejeo

  1. Katiba ya Zanzibar Ilihifadhiwa 4 Machi 2022 kwenye Wayback Machine., toleo la 1984 pamoja na masahihisho ya 2010
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya