Theodore Roosevelt
Theodore Roosevelt (27 Oktoba 1858 – 6 Januari 1919) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Miaka ya 1901 hadi 1909 alikuwa Rais wa ishirini na sita wa Marekani. Mwaka wa 1906 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani. Alikuwa Kiongozi wa chama cha kisiasa cha kijamhuri na mwanzilishi wa chama cha kisiasa cha Progressive cha 1912 ambacho hakikudumu. {{Navbox | name = Marais wa Marekani | title = Marais wa Marekani | image = | imageleft = | list1 = 1 George Washington · 2 John Adams · 3 Thomas Jefferson · 4 James Madison · 5 James Monroe · 6 John Quincy Adams · 7 Andrew Jackson · 8 Martin Van Buren · 9 William Henry Harrison · 10 John Tyler · 11 James K. Polk · 12 Zachary Taylor · 13 Millard Fillmore · 14 Franklin Pierce · 15 James Buchanan · 16 Abraham Lincoln · 17 Andrew Johnson · 18 Ulysses S. Grant · 19 Rutherford B. Hayes · 20 James A. Garfield · 21 Chester Arthur · 22 Grover Cleveland · 23 Benjamin Harrison · 24 Grover Cleveland · 25 William McKinley · 26 Theodore Roosevelt · 27 William Howard Taft · 28 Woodrow Wilson · 29 Warren G. Harding · 30 Calvin Coolidge · 31 Herbert Hoover · 32 Franklin D. Roosevelt · 33 Harry S. Truman · 34 Dwight D. Eisenhower · 35 John F. Kennedy · 36 Lyndon B. Johnson · 37 Richard Nixon · 38 Gerald Ford · 39 Jimmy Carter · 40 Ronald Reagan · 41 George H. W. Bush · 42 Bill Clinton · 43 George W. Bush · 44 Barack Obama · 45 Donald Trump · 46 Joe Biden · 47 Donald Trump
Information related to Theodore Roosevelt |