Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

 

Uwanja wa Michezo wa Paloma Mizuho

Uwanja wa Michezo wa Paloma Mizuho

Uwanja wa Michezo wa Paloma Mizuho ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1947 kwenye mji wa Nagoya, Aichi nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Nagoya Grampus (select matches) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 27,000.[1]

Marejeo

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Paloma Mizuho kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Information related to Uwanja wa Michezo wa Paloma Mizuho

Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya