Kabla ya kuchaguliwa Papa alikuwa abati wa monasteri iliyohudumia waliofika mjiniRoma kwa hija[4]. Kwa kuwa hakusubiri kupata uthibitisho wa kaisariPius Mtawa, alimtuma balozi kwake[5] naye akarudi na hatiPactum cum Paschali pontifice, ambamo kaisari alimpongeza, alithibitisha mamlaka ya Papa juu ya Dola la Papa, na kuhakikisha siku za mbele uchaguzi wa Mapapa hautaingiliwa na serikali tena.[6]Wanahistoria wana wasiwasi kuhusu hati hiyo kuwa halisi.[7] Kwa vyovyote, baada ya Papa Paskali I kumtia taji la kifalme Lotari I, mwana wa Pius, mahusiano yalizidi kuharibika.
↑ One or more of the preceding sentences incorporates text from a publication now in the public domain: Kirsch, Johann Peter (1911). "Pope Paschal I". Katika Herbermann, Charles (mhr.). Catholic Encyclopedia. Juz. la 11. Robert Appleton Company. {{cite encyclopedia}}: Cite has empty unknown parameters: |1=, |month=, na |coauthors= (help); Invalid |ref=harv (help)
↑"98. ПАСХАЛИЙ I". Церковно-Научный Центр "Православная Энциклопедия" (kwa Kirusi). Iliwekwa mnamo 2021-06-01.
Marejeo
Goodson, Caroline J. 2010. The Rome of Pope Paschal I: Papal Power, Urban Renovation, Church Rebuilding and Relic Translation, 817–824. Cambridge University Press.
John N.D. Kelly, Gran Dizionario Illustrato dei Papi, Edizioni Piemme S.p.A., 1989, Casale Monferrato (AL), ISBN 88-384-1326-6
Claudio Rendina, I papi, Ed. Newton Compton, Roma, 1990
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Paskali I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.