Kwa sababu hiyo wanajali karama (kwa Kigiriki χάρισμα, kharisma, yaani "zawadi", kutokana na χάρις, kharis, "neema" au "fadhili") za Roho Mtakatifu kama zilivyojitokeza katika Kanisa la mwanzo, hasa katika jumuia zilizoanzishwa na Mtume Paulo, kama ile ya Korintho (Ugiriki).
Mwaka 2011, Wapentekoste na Wakarismatiki pamoja walikuwa milioni 584, sawa na zaidi ya robo ya Wakristo wote na 8.5% ya watu wote duniani.[1]Kati yao milioni 120 ni waamini wa Kanisa Katoliki, ambalo peke yake lina Wakristo wengi kuliko tapo hilo.
Clement, Arthur J. Pentecost or Pretense?: an Examination of the Pentecostal and Charismatic Movements. Milwaukee, Wis.: Northwestern Publishing House, 1981. 255, [1] p. ISBN 0-8100-0118-7
Menzies, William W; Menzies, Robert P (2000), Spirit and Power: Foundations of Pentecostal Experience, Zondervan, ISBN978-0-310-86415-8.
Fiddes, Paul (1980), Charismatic renewal: a Baptist view: a report received by the Baptist Union Council with commentary, London: Baptist Publications.
Fiddes, Paul (1984), Martin, David; Mullen, Peter (whr.), The theology of the charismatic movement, Oxford: Blackwell, ku. 19–40.
Parry, David (1979). "Not Mad, Most Noble Festus": Essays on the Renewal Movement. London: Dartman, Longman & Todd. 103 p. N.B.: Approaches the Charismatic Movement from a Roman Catholic perspective.
"Charismatic Renewal", By denomination, Big church directory.
Pentecostalism and The Charismatic Movement, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-04-24, iliwekwa mnamo 2014-08-30{{citation}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help): Perspective of Institute for the Study of American Evangelicals.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wakarismatiki kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.