Connecticut
Connecticut ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Connecticut ilikuwa kati ya majimbo zilizoasi dhidi ya Uingereza mwaka 1776 na kuunda nchi mpya ya Marekani tangu 1778. Imepakana na Massachusetts, Rhode Island na New York. Iko kwenye mwanbao wa Atlantiki. Mji mkuu ni Hartford na mji mkubwa ni Bridgeport. Jimbo lina wakazi 3,501,252 (2008) wanaokalia eneo la kilomita za mraba 14,356. Viungo vya Nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|