Mississippi
Mississippi ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu na mji mukubwa ni Jackson. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 2,938,618 (2008) wanaokalia eneo la 125,443 km² ambalo ni hasa milima na jangwa. Imepakana na Tennessee, Alabama, Louisiana na Arkansas. Upande wa kusini imepakana na maji ya Ghuba ya Meksiko, magharibi mwa mto Mississippi. Viungo vya NjeTovuti Rasmi ya Jimbo la Alabama Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|