Oklahoma
Oklahoma ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu na mji mkubwa wa jimbo ni Oklahoma City. Imepakana na Kansas, Missouri, Arkansas, Texas, New Mexico (Meksiko Mpya) na Colorado. Idadi ya wakzi wa jimbo lote hufikia watu 3,617,316 wanaokalia eneo la 181,195 km² ambalo ni hasa milima na jangwa. Viungo vya NjeWikimedia Commons ina media kuhusu:
|