Michigan
Michigan ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Umbo lake linafanana na rasi mawili linalozungukwa na Ziwa Superior, Ziwa Michigan, Ziwa Huron na Ziwa Erie. Imepakana na Kanada, Ohio, Indiana na Wisconsin. Mji mkuu ni Lansing na mji mkubwa ni Detroit. Jimbo lina wakazi wapatao 10,003,422 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 253,793. Viungo vya NjeWikimedia Commons ina media kuhusu:
|